Fragaria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 7,188 Reaction score 40,444 Jul 15, 2019 #990,181 Cole Williams said: What Frag you know the song Click to expand... 😁 Nooo.. si nimeitafuta tuuu!
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,345 Reaction score 201,629 Jul 15, 2019 #990,182 All 4 one- These arms
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,345 Reaction score 201,629 Jul 15, 2019 #990,183 Fragaria said: [emoji16] Nooo.. si nimeitafuta tuuu![/ Ni nzuri inatakiwa uisikilize Click to expand...
Fragaria said: [emoji16] Nooo.. si nimeitafuta tuuu![/ Ni nzuri inatakiwa uisikilize Click to expand...
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,345 Reaction score 201,629 Jul 15, 2019 #990,184 I never believed in dreaming
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 15, 2019 #990,185 16:27
Fragaria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 7,188 Reaction score 40,444 Jul 15, 2019 #990,186 Nimeusilikiza pia..
Fragaria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 7,188 Reaction score 40,444 Jul 15, 2019 #990,187 Cole Williams said: Wapi zinapatikana ??? Click to expand... Online??🙂
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 15, 2019 #990,188 Jioni iwe njema kwetu wote
Fragaria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 7,188 Reaction score 40,444 Jul 15, 2019 #990,191 myoyambendi said: Jioni iwe njema kwetu wote Click to expand... Thx..Na kwako pia
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Jul 15, 2019 #990,193 Waliliumba wenyewe, alowatenza hakuna Tani za dongo na mawe, hapa wakazimimina Wakasema hadi liwe, ndipo watatulizana Sasa ‘mekuwa dubwana!
Waliliumba wenyewe, alowatenza hakuna Tani za dongo na mawe, hapa wakazimimina Wakasema hadi liwe, ndipo watatulizana Sasa ‘mekuwa dubwana!
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Jul 15, 2019 #990,194 Walipolianza mwanzo, kulifinyanga dubwana Walidhani ni mchezo, kwao madhara halina Sasa ‘mezuwa mzozo, dubwana linawawina Lishazuwa shinikizo!
Walipolianza mwanzo, kulifinyanga dubwana Walidhani ni mchezo, kwao madhara halina Sasa ‘mezuwa mzozo, dubwana linawawina Lishazuwa shinikizo!
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Jul 15, 2019 #990,195 Weliumba na mijino, ya wenzao kutafuna Vipande vya misumeno, viso mwanya viso shina Sasa halina mfano, lakatakata dubwana Cha moto wanakiona!
Weliumba na mijino, ya wenzao kutafuna Vipande vya misumeno, viso mwanya viso shina Sasa halina mfano, lakatakata dubwana Cha moto wanakiona!
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Jul 15, 2019 #990,196 Weliumba na makucha, mbele yaliyopindana Wakayachonga na ncha, ziwezazo chanachana Sasa makucha ‘mechacha, vya kuyatenda hawana Waone waichaicha!
Weliumba na makucha, mbele yaliyopindana Wakayachonga na ncha, ziwezazo chanachana Sasa makucha ‘mechacha, vya kuyatenda hawana Waone waichaicha!
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Jul 15, 2019 #990,197 Weliumba na makwato, na visigino vya vyuma Na mapembe yenye moto, likiuga huririma Sasa latisha watoto, wengine wangia homa Dubwana sasa nakama!
Weliumba na makwato, na visigino vya vyuma Na mapembe yenye moto, likiuga huririma Sasa latisha watoto, wengine wangia homa Dubwana sasa nakama!
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Jul 15, 2019 #990,199 Weliumba na jitumbo, kama shimo la kisima Wakasema hili pambo, halitakula daima Sasa linameza vyombo, vya Pwani na vya Mrima Dubwana ‘mezuwa mambo!
Weliumba na jitumbo, kama shimo la kisima Wakasema hili pambo, halitakula daima Sasa linameza vyombo, vya Pwani na vya Mrima Dubwana ‘mezuwa mambo!
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Jul 15, 2019 #990,200 Dubwana lishawashinda, laja mwilini ‘kivuma Laja mwendo wa kudunda, na sauti languruma Vitoto mbio vyenenda, wazee pumu zapuma Dubwana lataka nyama!
Dubwana lishawashinda, laja mwilini ‘kivuma Laja mwendo wa kudunda, na sauti languruma Vitoto mbio vyenenda, wazee pumu zapuma Dubwana lataka nyama!