Mi huwa si shop online.. naogopa huhakiwa vijisenti vyangu..Wewe Frag wewe tu
Mimi niko swafi mkuu kutulia ndiyo zangu.Hapana Mkuu. Niko poa Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu. Vipi weye Mkuu.
Mimi niko swafi mkuu kutulia ndiyo zangu.
Mi huwa si shop online.. naogopa huhakiwa vijisenti vyangu..
Maybe in one of my travels then...
Usijali.. niombee mema!Yeah hata hiyo itafaa sana
Hii imetoka season mpya eeh? sijaiangalia toka last season