mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Jirani inaelekea huo mti utakuwa na matunda mengi sana, kwani si kwa kupopolewa huko. [emoji16][emoji16]
Numby wetu ndiyo injini ya uzi huu. Akipoteaga tu panadoda balaa. Mimi sina impact yo yote hapa japo najua (kama anavyosemaga Jirani), kila mtu ana umuhimu wake...
Habari za asbh wote humu ndani
Wengi walitamani kuiona lakini hatupo nao tena
Hahahahaa aiseeAnkoo haujawahi kunywa maziwa mgando wewe? Au nimekosea maelezo?