mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu mambo vipiThat's my Ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mambo vipiThat's my Ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee*Tangu Yanga wafanye harambee ya kubwa kuliko*, *sijaona tena zile SMS* " *ILE HELA TUMA KWENYE NAMBA HII* . *Itakuwa ni wao* [emoji20][emoji20][emoji20].
Mkuu niaje upoSema kuyanyonya huwa yanakimbiaga.Halafu mazito kuyakusanya pamoja (nimeingilia tu maelezo sijui ndo yenyewe!!) muda wa kuyanyonya...
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
Kwema, habari yako jirani
Hicho sio kigezo bro, hakuna mchezaji namuelewa kuliko Messi lakini world cup 2014 ile final nilikua team Germany. Hawa Algeria toka waipige Tz 7 nilitokea kuwaelewa sanaKisa City[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza anagundu ameondoka huku tunabeba UCL title abaki huko huko au aende ChinaAlikuwa level nyingine kabisa Liverpool lakini akang’ang’ania kwenda BARCA pamoja na kujua alikuwa hayumo kwenye 1st 11. Sijui kama atarudi kwenye kiwango alichokuwa nacho Liverpool.
Naona mnakuja vyemaNamfatilia bro,bado tunawasoma[emoji2]
Dahhh!! Sijui kwanini nakuombea kila siku uwe na mitihani ya chuo!! Kila nilipo nawe upo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]That's my Ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi kabisa kiongozi, habari ya huko na vijana wangu?Mkuu niaje upo
Angekua liver angeisifia senegal balaaKisa City[emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusema dingi yako alikisimulia hiyo stori [emoji1][emoji1][emoji1]Safi kabisa jirani. Naona umeshusha kitu mfanano na yule mama wa kidosi wa mitaa ile, kuwadi yule. Ukitaka mtoto wa race yoyote anakutafutia! Hizi story hizi hatari sana! [emoji16][emoji16][emoji16]
Aiseee anko bana mtaalamu sanaSema kuyanyonya huwa yanakimbiaga.Halafu mazito kuyakusanya pamoja (nimeingilia tu maelezo sijui ndo yenyewe!!) muda wa kuyanyonya...
Kwanza anagundu ameondoka huku tunabeba UCL title abaki huko huko au aende China
Hahahaah poti anajisahau sanaUnataka kusema dingi yako alikisimulia hiyo stori [emoji1][emoji1][emoji1]
Unataka kusema dingi yako alikisimulia hiyo stori [emoji1][emoji1][emoji1]
Ankoo haujawahi kunywa maziwa mgando wewe? Au nimekosea maelezo?Aiseee anko bana mtaalamu sana