Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sema kuyanyonya huwa yanakimbiaga.Halafu mazito kuyakusanya pamoja (nimeingilia tu maelezo sijui ndo yenyewe!!) muda wa kuyanyonya...
Hata sijui mnaongelea nini lakini kiherehere dah [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
be513055-55fb-4d42-9493-102d45b45221.jpeg
 
Aliniunganishia ya wanafunzi wa Tambaza kusambazwa shule za Kantalamba na zingine korofi nilichoka.Huyu ni andaeitini mkubwa mwenzangu, twajuana ati...

Wewe Mnyaki nae, ile vita ya majimaji watu tunaambiwa risasi zilikuwa zinabadilika zinakuwa maji kwani tulikuwepo? History, History, History! [emoji16][emoji16]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]haufai kabisa. Unanifanya nikumbuke mabadiliko ya Dar tech kwenda DIT tukizurura tu kwenye makorido ya mabomba ya chuma utadhani tupo hospitali

Hapa umenipoteza, umeniacha pale Faya kabisaaaa; kuvuka tu ukumbi wa Wakorea mlipokuwa mnakwenda kuangalia picha za bure, Juche! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1493]‍♂️[emoji1493]‍♂️[emoji1493]‍♂️
 
Back
Top Bottom