Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Huenda kuna magori yalikuwa yanafungwa kama gori waliofungwa Tunisia leoGame kama hizi wenzenu wanajipigia tu View attachment 1153753
Huenda kuna magori yalikuwa yanafungwa kama gori waliofungwa Tunisia leoGame kama hizi wenzenu wanajipigia tu View attachment 1153753
Kautinyo na neima akili zao kama miguu ya messi akiwa argentina. Vijamaa hivi viwili vinatakiwa vijumuishwe na wanyama kule burigi kupewa somo la kuishi na wanadamu vizuri na kufundishwa kuwa tamaa ni mbaya sanaArudi tu L’pool mie si mpenzi wa Liverpool lakini sikutaka aondoke.
Liverpool pia wamejiunga kwenye mbio za kinyang'anyiro cha kutaka kumsajili mshambuliaji wa CSKA Moscow Fedor Chalov mwenye thamani ya pauni milioni 20. Arsenal, Manchester City, Tottenham, Chelsea na Manchester United pia wanamnyemelea mchezaji huyo mwenye miaka 21. (Mirror)
Unamsema Kingi wa watu Cc DavetKautinyo na neima akili zao kama miguu ya messi akiwa argentina. Vijamaa hivi viwili vinatakiwa vijumuishwe na wanyama kule burigi kupewa somo la kuishi na wanadamu vizuri na kufundishwa kuwa tamaa ni mbaya sana
Mwenye kalio atajivunia Kalio lake, mwenye nyonyo naye atatamba nalo[emoji120][emoji120]View attachment 1153785
Hahahahaha umemsahau Cole Williams
Itakua ana kipaji adimuAsee, timu zote zinamtaka?
Nyonyo kubwa hivyo matesoMwenye kalio atajivunia Kalio lake, mwenye nyonyo naye atatamba nalo[emoji120][emoji120]View attachment 1153785
Hahah soma ubao bro hakuna OGHuenda kuna magori yalikuwa yanafungwa kama gori waliofungwa Tunisia leo
Kautinyo na neima akili zao kama miguu ya messi akiwa argentina. Vijamaa hivi viwili vinatakiwa vijumuishwe na wanyama kule burigi kupewa somo la kuishi na wanadamu vizuri na kufundishwa kuwa tamaa ni mbaya sana
Bora alivyoondoka akampa salah nafasi nzuri ya kuonyesha kiwango chake bila kumsahau mane na wengineoAlikuwa level nyingine kabisa Liverpool lakini akang’ang’ania kwenda BARCA pamoja na kujua alikuwa hayumo kwenye 1st 11. Sijui kama atarudi kwenye kiwango alichokuwa nacho Liverpool.
Nyonyo kubwa hivyo mateso
[emoji23][emoji23][emoji23]nilimsahau BroHahahahaha umemsahau Cole Williams
Nasikia huleta maumivu ya kila mara ya mgongo wengine inabidi wafanyiwe operesheni ili kuyapunguza. Na matokeo yake maumivu ya mgongo hupotea kabisa.
Haha naimani na Super Eagle,,Samwel ChukwuezeHuu mfumo wa kiuoga View attachment 1153792