Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1563127869302.jpeg
 
Liverpool pia wamejiunga kwenye mbio za kinyang'anyiro cha kutaka kumsajili mshambuliaji wa CSKA Moscow Fedor Chalov mwenye thamani ya pauni milioni 20. Arsenal, Manchester City, Tottenham, Chelsea na Manchester United pia wanamnyemelea mchezaji huyo mwenye miaka 21. (Mirror)
 
Arudi tu L’pool mie si mpenzi wa Liverpool lakini sikutaka aondoke.

Kiungo wa Barcelona Philippe Coutinho, 27, atakataa ofa ya kujiunga na Manchester United, akiwa na malengo ya kuelekea klabu Paris St-Germain, japo anaweza pia kukubali kurejea Liverpool.(Express)Kiungo wa Barcelona Philippe Coutinho, 27, atakataa ofa ya kujiunga na Manchester United, akiwa na malengo ya kuelekea klabu Paris St-Germain, japo anaweza pia kukubali kurejea Liverpool.(Express)
 
Back
Top Bottom