Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa ukikosea mahesabu unajikuta upo Morogoro badala ya kwenda ManzeseView attachment 1155035
Uzuri wa hawa jamaa kuna vibarabara vingi vinavyoweza kukurudisha kwenye hii mifriiwei yao hata kama ukikosea pa kutokea/kuingilia. Labda uwe huko maporini porini ndo hapo sasa. Waweza kwenda maili hata mia hujapata exit....
 
Kama kaomba alfu 30 za salon atapataje wakati dorali ulizonanzo ni za mia mia?
Hapo ni sound mwanzo mwisho mpaka atulie[emoji23][emoji23]
Anaweza kusema "...nipe bebi nitabadilisha nitoe ninazohitahi halafu zilizobaki nitakurudishia bebi..." huku macho yemerembuliwa, sauti imelainishwa na msambwanda unatingishwa kiaina....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…