myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wa bajaji na daladala
Kama ni hivyo basi iPhone hazifai [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaha, anadai eti ukiwa Mombasa waweza shikwa mkono kuingizwa kwa chumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Alibadilisha jina nikampoteza nikashindwa kumfuatiliaHuyu jamaa naye tulitamba naye zama zile kisha akapotea
Kapotea sanaClever King
Mtoto wa kishua huyu....Yaani mpaka post zake zinanukia marashi ya Masaki...Cherie Naisha
Salama mkuuJirani Myombendi
Aliaga kuwa anahama JF mazima...Kapotea sana
😀 😀 😀 😀Hapa ukikosea mahesabu unajikuta upo Morogoro badala ya kwenda ManzeseView attachment 1155035