Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jifunze kula kuku.
Heshima ya kula kuku ni Paja na Kidali.
Vipapatio vinawahusu watoto.
Tafadhali usiniangushe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ati Moudy unasemaje? unazijua hot chicken wings zilivyo tamu!
chicken wings.jpg
 
Ni aibu kuandika andiko/matini ya Kiingereza iliyojaa makosa. Ikumbukwe kuwa hariri na usomaji prufu hufanywa na wataalamu kwa gharama kubwa; lakini unaweza kupunguza au kuondoa makosa ya kiuandishi katika maandiko ya kiingereza kwa kutumia programu hizi.
 
Back
Top Bottom