Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190716-WA0015.jpeg
 
Kuna bro wetu hapa ni mpenzi wa iPhone. Nasi tunashawishika kutafuta fedha kwa hali na mali tuimiliki kutokana na ushawishi wake, utafiti wako unaanza kututisha[emoji849][emoji849][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ila iPhone parefu aisee. Mwaka wa nne huu nadunduliza vijisenti lakini ngoma bado mbichi dah. Siku nikiitia mkononi sijui itakuwaje. Acheni wenye nazo waringe kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom