Hii kali dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unatafuta kesi mkuu[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
kwanini bab
Wasipokubuloku basi watakuwa na akaunti zao za siri ambako watakuwa wanakusema bila wewe kujua[emoji16][emoji16]
Duh! huyu jamaa...Lugolaaaaaa [emoji350][emoji350][emoji350]
View attachment 1154634
Halafu Mzee wa malimao eti akaahidi kumfufua....Tunakukumbuka,
Mwenyezi Mungu akulaze mahali pemaView attachment 1154812