Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Parachichi...
43_Avocado.jpeg
 
Indeed wallahi ai tachi niu mane everedei and Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai Zuhura & Lucifer Original...
View attachment 1154915

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iginoa listi inanihusu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Lakini nadhani umeona utafiti wa jamaa hapo juu, anadai ukiwa nayo muda mwingi mtoto wa kiume unakuwa lege lege[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila iPhone parefu aisee. Mwaka wa nne huu nadunduliza vijisenti lakini ngoma bado mbichi dah. Siku nikiitia mkononi sijui itakuwaje. Acheni wenye nazo waringe kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Msongo wa mawazo na ubize, unashindwa kwenda Gym wala kukimbia.
Unabaki na mjikitambi wa kutosha.
Ila huku kwetu vitambi vinawapa watu heshima[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Fo yua infomesheni huko kwa wenzetu huko kitambi ni dalili ya umasiki; na masikini wengi ndiyo wamefutuka kweli kweli [emoji16]
View attachment 1154913
 
Back
Top Bottom