Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha, hiyo mitego.
Wakati unajua hauna hela na unahisi harufu ya mizinga lazima ukae mkao wa kusepa.
Ukisharusha jiwe la kijanja unatembea usingoje yajayo.
Hapo ni mwendo tu, akipiga simu unazalisha swagga[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Anaweza kusema "...nipe bebi nitabadilisha nitoe ninazohitahi halafu zilizobaki nitakurudishia bebi..." huku macho yemerembuliwa, sauti imelainishwa na msambwanda unatingishwa kiaina....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…