Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1563262816863.jpeg
 
Duh sie tunaita hivyo. Enzi hizo kuna mgen alikuja kututembelea akakuta mboga ni hii akashangaa hee kumbe zinaliwaga.
Mapanki hawana minofu Numby,ni wale samaki ambao wanakuwa wameshatolewa minofu kwenye viwanda vya samaki,ndio wanaitwa Panki

Ila hawa wa kuokwa kwa moshi ni samaki wazuri sana na wana bei sana

Huyo mgeni atakuwa hakuwa mwenyeji wa kanda ya ziwa

Btw aina hii ya samaki huwa nawapenda sana,unaweza kula ugali mlima ukiwa na samaki hawa [emoji23][emoji23]
 
Uko sahihi bro. Mapanki yalihusika hata kwenye ile kashfa iliyotokana na documentary fulani iliyohusisha viwanda vya Wahindi vya kusindika samaki vilivyokuwa vinachukua minofu na kubakiza mifupa na vichwa ndiyo wazawa wanakula tena mara nyingine vikiwa vimeanza kuharibika.

Hawa ni samaki wanavuliwa halafu wanakaushwa kwa moshi kiufundi. Ukikuta wamepikwa vizuri wakatiwa tumafuta twa nazi, tukaranga tulitosagwa, tumaziwa tubichi na vimchicha pembeni aisee utafaudu sana...
 
Back
Top Bottom