Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ensenene....
IMG-20190716-WA0009.jpeg
 
Documentary ile inatoka ulikuwa bado dogo? Dogo kiasi gani? Jizazi...[emoji16][emoji16][emoji16]

Nawakumbuka hao samaki vizuri kwa sababu kuna jamaa alioa kwetu na mimi ndiyo nilikuwa appointed kuwa nakula naye. Kimila mwanzoni mwanzoni pale mkwilima anaandaliwa chakula cha peke yake na anakula na mwenyeji mmoja au wawili hivi. Ni mwendo wa kuku tu, samaki na mapochopocho mengine kibao. Kwenye bahati hii niliwafaudu sana hawa samaki....
[emoji16][emoji16][emoji16] [emoji16]Bro bhana,nilikuwa dogo ndio,tuachie hapo mengine ntatoa siri za kambi..

Ila nakumbuka serikalini alikuwa mzee Mkapa wakati documentary hii inatoka

Aisee ulifaidi sana Bro[emoji16][emoji16] maana kipindi hicho samaki wa ziwa Victoria walikuwa wakubwa kweli kweli,nakumbuka samaki mkubwa kuwahi kumshuhudia nilimuona akiwa kabebwa kwenye baskeli jamaa hakuweza kuendesha baiskeili alikuwa anaikokota mdogo mdogo dhahiri ikionesha kuwa samaki yule alikuwa amemdhidi uzito....samaki za namna ile miaka ya hv karbun imebaki historia..
 
Hata mi ambaye si mkaazi wa huko niliwahi waona mapanki ni kama ulivyochambua hapo.
Hata yule beberu wa kifaransa aliwahi waelezea vizuri kwenye sinema yake ya kisiasa ya "Darwin nightmare" mpaka akatukanwa na wazalendo wa kitanzania
Mapanki hawana minofu Numby,ni wale samaki ambao wanakuwa wameshatolewa minofu kwenye viwanda vya samaki,ndio wanaitwa Panki

Ila hawa wa kuokwa kwa moshi ni samaki wazuri sana na wana bei sana

Huyo mgeni atakuwa hakuwa mwenyeji wa kanda ya ziwa

Btw aina hii ya samaki huwa nawapenda sana,unaweza kula ugali mlima ukiwa na samaki hawa [emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] [emoji16]Bro bhana,nilikuwa dogo ndio,tuachie hapo mengine ntatoa siri za kambi..

Ila nakumbuka serikalini alikuwa mzee Mkapa wakati documentary hii inatoka

Aisee ulifaidi sana Bro[emoji16][emoji16] maana kipindi hicho samaki wa ziwa Victoria walikuwa wakubwa kweli kweli,nakumbuka samaki mkubwa kuwahi kumshuhudia nilimuona akiwa kabebwa kwenye baskeli jamaa hakuweza kuendesha baiskeili alikuwa anaikokota mdogo mdogo dhahiri ikionesha kuwa samaki yule alikuwa amemdhidi uzito....samaki za namna ile miaka ya hv karbun imebaki historia..
Masangara wakati ule yalikuwa yanakua sana yanakaribia kimo cha mtu. Siku hizi yamepungua na wanayaua yakiwa bado maandaeitini. Na menyewe yanafakamia visamaki vingine vidogo ali mradi ni shida tupu...
 
ka ningendako hahahaha
[emoji16][emoji16][emoji16] [emoji16]Bro bhana,nilikua dogo ndio,tuachie hapo mengine ntatoa siri za kambi..

Back
Top Bottom