Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Huyo mgeni wa mwenyeji mloweaji nimezaliwa nikamkuta.
Eneo nililopo wenye bei sana ni hawa wa kupimwa na rula hasa sato. Ila hao mabambala bei poa kabisa
Kula ugali mlima kwa hao samaki upo vizuri mno.
Sato wanapimwa na rula? Huu uvuvi huu itabidi nianze kuufanyia tuition; mabambala! [emoji16][emoji16]