Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kufumaniwa noma [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1155173
kuna wasichana kufumaniwa nao si dhambi wala aibu kubwa.
kimbembe ufumaniwe na msichana wa ovyo kama miss zumbukuku ndio utajutia, halafu unakuta mwenye msichana anataka kukulipizia kisasi.

mamaaaaaaa ukitoka gesti housiiii mwili wote umechoka kama uliyetumikishwa na jeshi la samurai
 
Wasema eti ukifumaniwa na mtoto mkali kuna unafuu? Kufumaniwa kufumaniwa tu japo nakubaliana nawe kwa kiasi fulani. Kama una mke/mpenzi hakikisha kuwa unayefumaniwa naye ni moto zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
2019-06-03%2014.50.06%202058082769620603935_1636540191.jpeg
 
Zinedine Zidane Posted An Emotional Tribute To His Big Brother After He Died Of Cancer
Zidane's older brother, Farid, had been battling the illness for some time and passed away at the age of 54 last Saturday.
1155181

"You always showed me the way," the Real Madrid manager wrote.

"You were fair, generous and courageous.
"You loved others and others loved you so much, I was always very proud of you, forever in my heart."
 
Back
Top Bottom