carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
TayariiiiiHahahahaha sidhani kama upo charmin hivi, hapo ipo room, nimeiacha ili nitafute maneno ya kuandika nimpelekee.
Msaada basi dada yangu!
TayariiiiiHahahahaha sidhani kama upo charmin hivi, hapo ipo room, nimeiacha ili nitafute maneno ya kuandika nimpelekee.
Msaada basi dada yangu!
MhSema bday yako imepita maana usingesahau hiyo day
QUIGLEYCarbamazepine
Salama sammy karibuHabari zenu
Nipo tu nakuja na kupoteaUlipotelea wapi leo?
[emoji1] [emoji1]Kichwa huyoo!!!
Usisahau kuniletea ice creamJamani naomba ruhusa yenu nitarudi mida.
[emoji131]Ndio maana nimekuita kabisa mama
Hi![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji116]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji490][emoji490][emoji490][emoji490]