Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji16][emoji16][emoji16]Vimbaumbau hata vibinuke namna gani hakuna kitu bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji16][emoji16][emoji16]Vimbaumbau hata vibinuke namna gani hakuna kitu bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Davet Davet...unataka kuona tumbo langu??Ugonjwa wangu huu...
Embu tuone picha ya tumbo
HahahahHehehehe
#najajikaonakijanaanapendavilivyobinuka
#kamamgongochuravile
😂😂😂😂Davet Davet...unataka kuona tumbo langu??
Amin Bro[emoji120]Huku kila kitu kiko salama. Safari ya maisha inaendelea japo hatujui siku wala saa. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
😂 😂 😂 nilitaka kushangaa unataka kubemendwa wewe tena!😂😂😂😂
Umeshalifanya tukio kuonekana ni dhambi kubwa, basi yaishe
OMG! Obusitako hii tayari😂 😂 😂 nilitaka kushangaa unataka kubemendwa wewe tena!
Kumbe naweHahahah
#mimiteamflatscreen
#nakatarufaa
😀😀 unaona wakubwa wanafaudu eeeh...OMG! Obusitako hii tayari
Jamani mimi muhenga mwenzenu msinibague 😀
Yaani huyu Baba ana pepo!!![]()
Dar, Kigamboni: Khamis Luongo amuua mke wake Naomi Orest Marijani na kumchoma moto. Majivu akafanya mbolea ya Mgomba
TAARIFA YA TUKIO KUBWA KWA KIREFU KGD/IR/4422/2019 KOSA MAUAJI MTOA TAARIFA NI SP THOBIAS WALELO MKUU WA UPELELEZI WILAYA YA KIGAMBONI Anaeleza kuwa mnamo tarehe 15.07.2019 majira ya saa 0800hrs huko Gezaulole kata ya Somangila Wilaya ya Kigamboni jiji la Dar Es Salaam nyumbani kwake Khamis...www.jamiiforums.com
😂😂😂😂😂 ndio wanafaudu sana mixer flat screen za matumbo😀😀 unaona wakubwa wanafaudu eeeh...
Utakimbia wewe kijana acha kutaka makubwa!!
Mdada mzuri jaman
Kabisa,angempa tu talakaYaani huyu Baba ana pepo!!
ahahahhaha na hapa hutasahau uwiii hahaha😂😂😂😂😂 ndio wanafaudu sana mixer flat screen za matumbo
#hakimbiimtu
#wahenganipokeeni
Mmmh ilivyokaa hata bure sili
Binti alimpenda jamaa mpaka akabafili dini kumfata mume daah