Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Imekaa vizuri hii,ila naanza kuona kupotea kwa mapato ya viingilio,,,

Imagine fainali ipigwe Morocco halafu moja ya timu itoke Uganda halafu nyingine itoke Guinea,,unafikiri timu hizi zitamudu kwenda na mashabiki kule Morocco ikiwa uchumi wa mataifa mengi barani Africa unafanana

Btw hongera kwa Rais mpya wa Caf kuna vingi vipya anazidi kuboresha japo ana mapungufu yake pia
Lengo kuu la home and away katika finali lilikua ni bakuli la kukusanya mapato ila sasa kumekua na changamoto nyingi katika huo mfumo....

Wacha tukubali mabadiliko, mambo yatajipa huko mbeleni
 
Imekaa vizuri hii,ila naanza kuona kupotea kwa mapato ya viingilio,,,

Imagine fainali ipigwe Morocco halafu moja ya timu itoke Uganda halafu nyingine itoke Guinea,,unafikiri timu hizi zitamudu kwenda na mashabiki kule Morocco ikiwa uchumi wa mataifa mengi barani Africa unafanana

Btw hongera kwa Rais mpya wa Caf kuna vingi vipya anazidi kuboresha japo ana mapungufu yake pia
Ila usikose kutazama hiyo final bro
 
20190717_201442.jpeg
 
Back
Top Bottom