Lengo kuu la home and away katika finali lilikua ni bakuli la kukusanya mapato ila sasa kumekua na changamoto nyingi katika huo mfumo....Imekaa vizuri hii,ila naanza kuona kupotea kwa mapato ya viingilio,,,
Imagine fainali ipigwe Morocco halafu moja ya timu itoke Uganda halafu nyingine itoke Guinea,,unafikiri timu hizi zitamudu kwenda na mashabiki kule Morocco ikiwa uchumi wa mataifa mengi barani Africa unafanana
Btw hongera kwa Rais mpya wa Caf kuna vingi vipya anazidi kuboresha japo ana mapungufu yake pia
Ila usikose kutazama hiyo final broImekaa vizuri hii,ila naanza kuona kupotea kwa mapato ya viingilio,,,
Imagine fainali ipigwe Morocco halafu moja ya timu itoke Uganda halafu nyingine itoke Guinea,,unafikiri timu hizi zitamudu kwenda na mashabiki kule Morocco ikiwa uchumi wa mataifa mengi barani Africa unafanana
Btw hongera kwa Rais mpya wa Caf kuna vingi vipya anazidi kuboresha japo ana mapungufu yake pia
Kweli kabsa[emoji122][emoji122]Lengo kuu la home and away katika finali lilikua ni bakuli la kukusanya mapato ila sasa kumekua na changamoto nyingi katika huo mfumo....
Wacha tukubali mabadiliko, mambo yatajipa huko mbeleni
Ya ijumaa hii bro?Ila usikose kutazama hiyo final bro
Hiyo ambayo imefanyiwa mabadiliko na Rais wa CAF, lakini pia ata hiyo ya Ijumaa sio ya kukosaYa ijumaa hii bro?
Iko wapiLaki Tisaa
Sawa bro,tupo pamoja mzee mwenzanguHiyo ambayo imefanyiwa mabadiliko na Rais wa CAF, lakini pia ata hiyo ya Ijumaa sio ya kukosa
Nawe ki-model Khantwe?Jamani [emoji3][emoji3][emoji3]