Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Cole Williams njoo huku braza...[emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu sasa wakati mwingine huyo anayeomba utakuta ana hela zake lakini hataki kuzitumia. Nadhani ni mapokeo ya kijamii kuwa mwanaume lazima amhudumie mwanamke...
Hvyo ndivyo ilivyo mwanaumw utatafuta kwa jasho mwnamke utazaa kWa uchungu mbona mwampinga aliye juu!maisha yamewabana mwapumulia mipira DAT y mnatafuta simple reason [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…