Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
![]()
Dar, Kigamboni: Khamis Luongo amuua mke wake Naomi Orest Marijani na kumchoma moto. Majivu akafanya mbolea ya Mgomba - JamiiForums
TAARIFA YA TUKIO KUBWA KWA KIREFU KGD/IR/4422/2019 KOSA MAUAJI MTOA TAARIFA NI SP THOBIAS WALELO MKUU WA UPELELEZI WILAYA YA KIGAMBONI Anaeleza kuwa mnamo tarehe 15.07.2019 majira ya saa 0800hrs huko Gezaulole kata ya Somangila Wilaya ya Kigamboni jiji la Dar Es Salaam nyumbani kwake Khamis...www.jamiiforums.com