Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Ni vyema na haki kukushukuru Mungu wetu kwa wema na utukufu wako. Tunasema asante kwa ulinzi wako na kutuwezesha wanao kuamka salama na kuiona Alhamisi nyingine tena.

Tunaomba uzidi kutujalia mambo mema maishani sisi pamoja na familia zetu. Utujalie afya njema na maisha bora yenye amani upendo na furaha ndani yake. Utubariki sote ili kwamba tupate kufanikiwa kwa kadri ya mapenzi yako.

Eh Mungu, sisi ni viumbe dhaifu na hakuna aliye mkamilifu baina yetu, tunaomba utusamehe makosa yetu na utupe mioyo ya kuwasamehe wale wanaotukosea. Tunaomba utujalie busara na hekima ili kwamba tuweze kuishi kwa namna ya kukupendeza.

Tunakushukuru, tunakuabudu na kukutukuza daima kwa maana wewe ni Mungu mwema na kamwe ufalme wako hautokuwa na mwisho; sasa, siku zote na hata milele.

AMEN!
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
FB_IMG_1563407211575.jpeg
 
Amen
 
Afadhali. Maandaeitini walikuwa mpaka wanajiua kisa hawana likes za kutosha. Mpaka kuna makampuni ya kuongezea likes kabisa unawalipa wanatumia bots wanakuwekea likes ulizonunua. Hapa uzini ni mwendo wa kudeploy mafyekero hata 30 kama unayo [emoji16][emoji16][emoji16]
Nikweli wamefikia uamizi mzuri na members wote watakua wanajisikia huru kutumia IG, pia nasikia wanakuja na issue ya comments yani comment haitapanda mpaka muhusika aipitishe.
 
Back
Top Bottom