Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Gazeti la mwanaharakati bhana View attachment 1156591
Uasi na mifarakano ni jambo la kawaida. Mtihani ni jinsi inavyoshughulikiwa; na kama kinachotokea baada ya hapo ni chema. Tatizo ni kwamba hawa wanaotajwa kuwa ni waasi ni makada wenyewe tena wa muda mrefu sana; na wanazijua siri zote (magoli ya mkono included)...

Upinzani wakiusoma huu mchezo na kucheza karata zao vizuri badala ya umburura waliofanya last time wanaweza kufaidika sana.

Yote kwa yote hawa ni wanasiasa na bila shaka wanapigania matumbo yao. Leo wanazozana haoo kesho ulaji ukija wameshaungana. Hawaaminiki !!!
 
Indeed bro hawa jamaa sio wa kuwaamini kabisa, hayo mambo yao ni kutazama tu kama zile series za Mkorea wa Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…