Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Picha inajieleza bro. Msambwanda unamhusu sana tena mno ila tumbo ndiyo zaidi ya flat. Utafikiri halagi. Ratio yake ya hips na waist inashangaza bro. Mkatiko pyua [emoji16][emoji16]Kwani ata msambwanda(in ningendako voice) nao haumuhusu?
😁😁😁 eti umaarufu umeporomokaSiku hizi "umaarufu" wangu umeporomoka kwa kasi ya kutisha. Inanibidi kuweka maangalizo kwanza. Nimechoka kuchezea iginoa listi zisizo na sababu [emoji16][emoji16][emoji16]
Wakubwa mnafaidi aisee! Mimi alisema eti nataka kubemendwa ikabidi nikatae u-under18Picha inajieleza bro. Msambwanda unamhusu sana tena mno ila tumbo ndiyo zaidi ya flat. Utafikiri halagi. Ratio yake ya hips na waist inashangaza bro. Mkatiko pyua [emoji16][emoji16]
Wewe wanakuandaestimeti tu bro. Uliona angalizo nililompa Prisca kuwa akijichanganya anaweza kujikuta anakuzindua bro? Naona kama lilikukwaza kidogo ukaanza kuniruka kunipa likes kwa karibu siku nzima [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Wakubwa mnafaidi aisee! Mimi alisema eti nataka kubemendwa ikabidi nikatae u-under18
Sasa Davet .. hayo mambo yanarekebishika na tizi na makulaji tuuu mbona...
Ni kweli bro. Ni kila jambo na majira yake...Nimebakia kuwa mpenzi mtazamaji tu bro; na kubaki nikicheka kimoyo moyo (as in been there done that [emoji16][emoji16][emoji16])..[emoji16][emoji16][emoji16] eti umaarufu umeporomoka