Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ciara...
69bdbe2e-2677-4632-b7e6-79af5c73ea39.jpeg
 
Picha inajieleza bro. Msambwanda unamhusu sana tena mno ila tumbo ndiyo zaidi ya flat. Utafikiri halagi. Ratio yake ya hips na waist inashangaza bro. Mkatiko pyua [emoji16][emoji16]
Ee ndiwooo.. Wanawake wa jf tuna kila kitu !! All your fantasies and imaginations are found in jf women! We are catered for every Mans dreams!
 
Wewe wanakuandaestimeti tu bro. Uliona angalizo nililompa Prisca kuwa akijichanganya anaweza kujikuta anakuzindua bro? Naona kama lilikukwaza kidogo ukaanza kuniruka kunipa likes kwa karibu siku nzima [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahah! Eti akijichanganya atanizindua 😀😀

Sikuona hilo angalizo bro na kuhusu kutogonga likes labda sababu nyingine tu sio hii, humu ndani sikumbuki ni lini nimewahi kukasirik. 80+% ya maisha ya humu ni utani tu so ukilijua hili hakuna shida
 
Back
Top Bottom