Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Picha inajieleza bro. Msambwanda unamhusu sana tena mno ila tumbo ndiyo zaidi ya flat. Utafikiri halagi. Ratio yake ya hips na waist inashangaza bro. Mkatiko pyua [emoji16][emoji16]
Ee ndiwooo.. Wanawake wa jf tuna kila kitu !! All your fantasies and imaginations are found in jf women! We are catered for every Mans dreams!
 
Hahah! Eti akijichanganya atanizindua 😀😀

Sikuona hilo angalizo bro na kuhusu kutogonga likes labda sababu nyingine tu sio hii, humu ndani sikumbuki ni lini nimewahi kukasirik. 80+% ya maisha ya humu ni utani tu so ukilijua hili hakuna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…