Umaarufu upo bro sema wewe tu sijui unataka umaarufu gani tenaNi kweli bro. Ni kila jambo na majira yake...Nimebakia kuwa mpenzi mtazamaji tu bro; na kubaki nikicheka kimoyo moyo (as in been there done that [emoji16][emoji16][emoji16])..
Hata mimi tumbo nnalo.. kitambi ndio sinaHapana sishangai ila nakupongeza kwa kuweza kumiliki flat hapo mbele, kiukweli maisha ya sasa wakinadada wengi wamekua na matumbo sana
Naam bro,mambo niaje mzee ??Mzee mwenzangu ningendako
Frag bhana unaelewaga vitu ila unapenda kuvizoom tu. Sawa bhanaHata mimi tumbo nnalo.. kitambi ndio sina
Fresh sana mzee, vipi wewe?Naam bro,mambo niaje mzee ??
Siku yako imeendaje huko??
Tuyaache hayo bro...Umaarufu upo bro sema wewe tu sijui unataka umaarufu gani tena
Salama Bro,tunashukuru bado tunapumua,,rangi ya thao hajambo[emoji2][emoji2]Fresh sana mzee, vipi wewe?
That's my bro [emoji109][emoji109][emoji109]Hahah! Eti akijichanganya atanizindua [emoji3][emoji3]
Sikuona hilo angalizo bro na kuhusu kutogonga likes labda sababu nyingine tu sio hii, humu ndani sikumbuki ni lini nimewahi kukasirik. 80+% ya maisha ya humu ni utani tu so ukilijua hili hakuna shida
Hahah! Tupo pamoja bro, tutasomana tuombe uzimaTuyaache hayo bro...
Tukutane chimbo Novemba. Jitahidi tufahamiane please...
Hahah! Noma sana mzee, naona umeshaanza michezo michafu bado mapemaSalama Bro,tunashukuru bado tunapumua,,rangi ya thao hajambo[emoji2][emoji2]
Tuyaache hayo bro...
Tukutane chimbo Novemba. Jitahidi tufahamiane please...
Hahah! Eti akijichanganya atanizindua [emoji3][emoji3]
Sikuona hilo angalizo bro na kuhusu kutogonga likes labda sababu nyingine tu sio hii, humu ndani sikumbuki ni lini nimewahi kukasirik. 80+% ya maisha ya humu ni utani tu so ukilijua hili hakuna shida
Wanaume wa kichaga
Habari wadau wa MMU. Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them? Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae. Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi...www.jamiiforums.com
Mimi naamini kuna mimashine ya UFO huko hata hao aliens wapo huko wamefichwa. Na mambo mengi ya siri hasa midege na masilaha mengine wakati ujao.Wameshapigwa mkwara na Jeshi wa don’t even try you suckers! Sijui wameficha madude gani huko! [emoji16][emoji16]