Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

unnamed (10).jpg
 
Sawa, Chelsea ilimuadhibu Costa kwa kitendo hicho, lakini aliingia kwenye mgomo hadi alipoondoka kwenda Atletico Madrid kwa ada ya Pauni 57 milioni. Hadi leo Chelsea hawajapa mrithi wake kwenye nafasi ya mshambuliaji wa kati.
Chelsea haitawai patana na mshambuliaji wa hali ya juu kama costa. Huyo jamaa alikuwa anasaidia hiyo team pakubwa sana
 
Back
Top Bottom