Kawaida.. Mtu akiangalia urembo hakuna wataenda hapo kupotezeana wakati na kuharibu pesa za mwingine bure.
Freshi mkuu..Salaam wakuu
23:3211:45
Chelsea haitawai patana na mshambuliaji wa hali ya juu kama costa. Huyo jamaa alikuwa anasaidia hiyo team pakubwa sanaSawa, Chelsea ilimuadhibu Costa kwa kitendo hicho, lakini aliingia kwenye mgomo hadi alipoondoka kwenda Atletico Madrid kwa ada ya Pauni 57 milioni. Hadi leo Chelsea hawajapa mrithi wake kwenye nafasi ya mshambuliaji wa kati.
👩💻👀
Najuaga wakati huu tayari ushalala. Wala sikuwa na wasiwasi kuwa utaibuka...na kesho nilikuwa sina mpango wa kuja humu. Ushanitibulia plan zangu zote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1914][emoji102]
Shaggy huyoWasn't me