Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Nzuri, marahaba hujambo?Habari yako Mkuu
Nzuri, marahaba hujambo?
✔✔✔Watu wa aina hii wanakusababisha ukose furaha. Hakikisha unakaa katikati ya watu wanaokutia moyo na kukuthamini. Epuka watu walioshindwa ambao kazi yao kubwa ni kulalamika na kulaumu kila kitu.
😂😂😂😂😂😂😂 Griezmann kishaanza kuonyesha kiwango chake bado mapemaUnataka kuninyima Fraggy, I cant believe na wewe unaweza kuwa mchoyo
Daah [emoji1549][emoji1549][emoji1549]
😀 hahahaUsiogope kucha zipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena mwambie mbeti kabisaa,ukiumia akate kucha na ushahidi atuonyeshe
Kama wewe upo tayari, mie ni nani nibishe[emoji4]Hahah! Kumbe hili jina na wewe unalijua? Aisee.....
Nimesikia, vipi wewe upo tayari kwa hili?
Ulikuwa hujui?? mi mchoyo hatariiiUnataka kuninyima Fraggy, I cant believe na wewe unaweza kuwa mchoyo
Daah [emoji1549][emoji1549][emoji1549]
👂 I am all ears !!Hahah! Kumbe hili jina na wewe unalijua? Aisee.....
Nimesikia, vipi wewe upo tayari kwa hili?
[emoji1][emoji1]wabongo Jamanii
Wacha we!!Kama wewe upo tayari, mie ni nani nibishe[emoji4]
Ndio hapo sasa 😀...Kama wewe upo tayari, mie ni nani nibishe[emoji4]
Ulikuwa hujui?? mi mchoyo hatariii
Age mate wako eeh!! 😁Ukishindwa kuniamini mimi Age mate wako utamuamini nani jamani? Huwezi kuumia huo ndio upande salama zaidi ya ule mwingine
Hahah! Noma sanaUlikuwa hujui?? mi mchoyo hatariii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Griezmann kishaanza kuonyesha kiwango chake bado mapema
😀😀😀😀😀👂 I am all ears !!
Hahah! Lakini na wewe pia ni Age mate wangu ohooh!Age mate wako eeh!! 😁
Safiii...
Mkatalunya kiwango unacho sema hujijui kama unacho au hutaki kujionyesha tu.Mkatalunya unafeli hapa sina viwango hivyo vya griz