Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamani mtunza rekodi huchezi mbaliii[emoji51][emoji51][emoji51]
Niko macho. Siku hizi mambo mengi yananipita. Nimefurahi sana kusikia kuwa nawe unajua vivumishi vya vingunge wa humu. Sikujua kama unajua kuwa bro wangu huyu aka yake ni King. Lakini unajua aliupataje huo uKing?
 
Wakati mimi nilizifaidi zile vocha pale msema kweli mpenzi wa Mungu


Wooi, ile kila mtu ana Gari, ana degree kashajenga[emoji23][emoji23][emoji23]!


Mie kiukweli nakwamaga
Aah kumbe halafu ukauchuna kama sio wewe hahaha

Mwenzangu humu ukiangalia juu juu utaishi kwa huzuni na kuwalaumu mababu kwa kutochangamkia utajiri enzi hizo

Hata mie ila saiv nina ka halotel kana ofa ya halopesa. Buku gb 1 kwa wiki
 
Wakati mimi nilizifaidi zile vocha pale msema kweli mpenzi wa Mungu


Wooi, ile kila mtu ana Gari, ana degree kashajenga[emoji23][emoji23][emoji23]!


Mie kiukweli nakwamaga
Kumbe ulipata zile vocha? Tulilalamika sana kuwa tumemvunja moyo prof kwa kutotoa shukrani laivu. Na tangu siku ile hajarudi tena...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio SYB,


Kwema shikamoo[emoji85]

#Sijuiutaikataa

King come see this answer here. Mechiii !!![emoji351][emoji351][emoji351]

Huwa najisikia vizuri sana nikipewa shikamoo kwa sababu umri wangu unaniruhusu. Natamani sana maandaeitini wote humu muwe mnanipa shikamoo. Kulikuwa na mmoja tu aliyekuwa ananipa shikamoo consistently ila naye siku hizi keshaacha. Itafurahisha ukichukua nafasi yake.

Zeafo; naitikia shikamoo yako kwa heshima kubwa na taadhima: Marahabaaaaaaaaaa !!!
 
😁 😁 😁
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Abiria chunga mzigo wako!
Kulikuwa na kipindi humu ilikuwa ukiondoka wani awa tu unakuta wajanja wameshabeba baby wako. Watu walikuwa wanatembea na pete za ndoa mfukoni na kulikuwa na harusi almost deile. Those were the days man. KK aka Pimbi popote ulipo heshima yako [emoji16][emoji16]
 
Niko macho. Siku hizi mambo mengi yananipita. Nimefurahi sana kusikia kuwa nawe unajua vivumishi vya vingunge wa humu. Sikujua kama unajua kuwa bro wangu huyu aka yake ni King. Lakini unajua aliupataje huo uKing?
Ah, hapo kwenye kujua alipataje uking bado sijafahamu kiukweli...ila jina naliona ona akiitwa na anafurahi kweli[emoji23]


Hili la kwako nilitambulishwa na wewe pindi mnanipokea..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…