Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

King come see this answer here. Mechiii !!![emoji351][emoji351][emoji351]

Huwa najisikia vizuri sana nikipewa shikamoo kwa sababu umri wangu unaniruhusu. Natamani sana maandaeitini wote humu muwe mnanipa shikamoo. Kulikuwa na mmoja tu aliyekuwa ananipa shikamoo consistently ila naye siku hizi keshaacha. Itafurahisha ukichukua nafasi yake.

Zeafo; naitikia shikamoo yako kwa heshima kubwa na taadhima: Marahabaaaaaaaaaa !!!
Ooh safi sana..mie kwa vile umenipa Green light, utakutana na shikamoo zako Ngosha[emoji23]
 
Ah, hapo kwenye kujua alipataje uking bado sijafahamu kiukweli...ila jina naliona ona akiitwa na anafurahi kweli[emoji23]


Hili la kwako nilitambulishwa na wewe pindi mnanipokea..!
Sasa ushakuwa mwenyeji wewe. Usiwe tu unapotea sana. Kama mtunza kumbukumbu, nakutambua rasmi sasa kama mwenyeji humu. Jisikie huru kabisa....

Na uendelee kuwa unanipa shikamoo [emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀
 
Mmmh..aah aaah.. I have a feeling tumepishana 3-5 years tu![emoji12] or 10?
Sasa kama unahisi tumepishana 10 years hapo si ni haki kabisa kunipa shikamoo. Tatizo liko wapi jamani?

Mimi nimeshiriki kwenye harakati za kupigania uhuru wa nchi hii jamani. Msininyanyapalie shikamoo zenu maandaeitini [emoji16]
 
Kulikuwa na kipindi humu ilikuwa ukiondoka wani awa tu unakuta wajanja wameshabeba baby wako. Watu walikuwa wanatembea na pete za ndoa mfukoni na kulikuwa na harusi almost deile. Those were the days man. KK aka Pimbi popote ulipo heshima yako [emoji16][emoji16]
😂😂😂 hatari sana! mwenye kisu kikali ndio anakula nyama!
 
Back
Top Bottom