Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Swali rahisi. King wa kuzinduliwa ndani na nje ya uzi huu ni nani?ukipata jibu imagine kila mwaka mswati anakula vipya vipya anafungua mwenyewe kifungashio kipyaaaaaa
tapatalk_1563535702803.jpeg
 
King come see this answer here. Mechiii !!![emoji351][emoji351][emoji351]

Huwa najisikia vizuri sana nikipewa shikamoo kwa sababu umri wangu unaniruhusu. Natamani sana maandaeitini wote humu muwe mnanipa shikamoo. Kulikuwa na mmoja tu aliyekuwa ananipa shikamoo consistently ila naye siku hizi keshaacha. Itafurahisha ukichukua nafasi yake.

Zeafo; naitikia shikamoo yako kwa heshima kubwa na taadhima: Marahabaaaaaaaaaa !!!
Hahaha! I see
 
Ah, hapo kwenye kujua alipataje uking bado sijafahamu kiukweli...ila jina naliona ona akiitwa na anafurahi kweli[emoji23]


Hili la kwako nilitambulishwa na wewe pindi mnanipokea..!
Kila kitu humu ndani inabidi ufurahi tu maana ukikasirika utazeeka mapema. Ata wewe nakuona upo vizuri unajua kwenda sawa na wanajamii 😀
 
Back
Top Bottom