Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

111eaa274bc846763117cec75a85a739.jpeg
 
Shwari, nikajua utaikataa shikamoo yangu.
Hiyo ni ya alfa na omega [emoji2][emoji2]
Kupewa shikamoo ni dalili ya heshima bro. Niikatae kwa nini wakati umri unaniruhusu bro? Umepata jiko juzi juzi hapa si ajabu hata 30 hujafikisha bro sawa na maandaeitini wenzio. Keep those shikamoo coming na hayo mambo ya alfa na omega yakafie huko [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Utaipata kama tuu hatutawasiliana kwa zaidi ya mwezi mmoja.

Mishe zinasemaje lkn?Summer hii hatuna safari yoyote?
 
Back
Top Bottom