Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si nasikia katoka, kaenda kupokea tuzo yake. Au kuna mtu kamuacha?
banter

kwani melo akiondoka zile server huzitia kufuli?

kwani melo akiwa nje ya nchi jamiiforums inakuwa blocked?

kama umechoshwa na likes andika thread za kumsifia
bwana musiba,
steven nyerere,
makonda,
faru maziwa,
faru mechi goli mpaka akafanikiwa kuzaa watoto 40.
bila ya kusahau andaa thread ya kusifa sanamu ya nyerere.

mdhihaki mshana senior na crew yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…