Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Kwanini binti mpole ?Hii ndo maana halisi ya neno kichwapanziView attachment 1157327
He!!Hii ndo maana halisi ya neno kichwapanziView attachment 1157327
Kitu gani hicho poti? Msambwanda hevi ama? Ngozi laini inayong'ara? Tumbo flat? Ukweni kule kwenye madoido? Safari za first class kwenda Sauzi na Yuropu ama? Funguka poti. Sasa kalala [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona umeshikwa sharubu poti...Umenywea ghafla...Umekuwa kama Trump mbele ya Putin...Mgumu mai futi [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu bdada d'ass yupo wp bro?Kawaida ya Wahehe hiyo [emoji16][emoji16]
😝😝😝Hahah Jamani mie nipo low stage, sijamfikia fraggy[emoji13][emoji13]