Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si hio ya zambarau hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hufai kabisa
 
Bro njoo usikie hii. Ni yale mambo yetu ya #KuchapiwaHakuepukiki [emoji16][emoji16][emoji16]
455926316_377021.jpeg
 
Ila wanaume kwa kujigeuza victims hamjambo utadhan nyie malaika sana
Hakuna aliyesema hivyo. Sisi pengine ndiyo worse...

Ripoti ya mwaka jana ya mkemia mkuu wa serikali ilisema kati ya watu wote waliopima DNA za watoto wao asilimia 48 walikuwa wamebambikiwa...

#UsikwazikeBintiMpole
#KilaJinsiaInahusika
 
Hiyo habari wala sijaisoma, muda wote naiangalia sura ya huyo mwanamama kwa jinsi ilivyopendeza.
mwenye kufahamu rangi ya uso wa huyo ahjummmaaaa aniambie tafadhali.
je uso wake ni rangi blue
je uso wake ni rangi ya chotara wa kiarabu.
je uso wake ni rangi ya karoti zile zinazotengenezewa kachumbari ya pilau masalla
1563556011540.png
 
View attachment 1157427
Mkorogo umekubali. Kujua rangi yake halisi ni lazima uone viganja au magoti yake [emoji16][emoji16]
 
Mkorogo umekubali. Kujua rangi yake halisi ni lazima uone viganja au magoti yake [emoji16][emoji16]
kuna hatua ya umri ukishaipita basi ni bora ukubali matokeo kuliko kujifanya bado wamo.
tafuta mafuta ya nazi ujipake ili angalau uondowe mavumbi ya mkaa usoni.

una miaka 48 unapaka vipodozi visivyoendana na ngozi yako hatimaye unajikuta sura yako imevimba kama maandazi ya kuchoma kwa mkungu kwa wale masikini wenzangu.
 
Back
Top Bottom