The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hufai kabisaSi hio ya zambarau hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wanaume kwa kujigeuza victims hamjambo utadhan nyie malaika sanaBro njoo usikie hii. Ni yale mambo yetu ya #KuchapiwaHakuepukiki [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1157412
Hakuna aliyesema hivyo. Sisi pengine ndiyo worse...Ila wanaume kwa kujigeuza victims hamjambo utadhan nyie malaika sana
Bro njoo usikie hii. Ni yale mambo yetu ya #KuchapiwaHakuepukiki [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1157412
Ila wanaume kwa kujigeuza victims hamjambo utadhan nyie malaika sana
Hiyo habari wala sijaisoma, muda wote naiangalia sura ya huyo mwanamama kwa jinsi ilivyopendeza.
Mkorogo umekubali. Kujua rangi yake halisi ni lazima uone viganja au magoti yake [emoji16][emoji16]Hiyo habari wala sijaisoma, muda wote naiangalia sura ya huyo mwanamama kwa jinsi ilivyopendeza.
mwenye kufahamu rangi ya uso wa huyo ahjummmaaaa aniambie tafadhali.
je uso wake ni rangi blue
je uso wake ni rangi ya chotara wa kiarabu.
je uso wake ni rangi ya karoti zile zinazotengenezewa kachumbari ya pilau masalla
View attachment 1157427
kuna hatua ya umri ukishaipita basi ni bora ukubali matokeo kuliko kujifanya bado wamo.Mkorogo umekubali. Kujua rangi yake halisi ni lazima uone viganja au magoti yake [emoji16][emoji16]