Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jamaniii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha jamaa yako wa Sapiwi! Anapenda kweli banio la ugali
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Nichokozeeee !!![emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
Huyu bro mbona yuko powa tu? Internet bullies/trolls hawafai !!!Game dhidi ya Tunisia ilimkataa ndio mana naona leo hajaanzishwa View attachment 1157612
Atakua kakitupa kabisaNamba tano itakuwaje? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1157613
Dah kuna mengi... Na mengi hayafanyi vizuri.. Always Do deep conditioning ndio nywele zinakuwa healthy.. tumia natural mafuta ya olives na Coconut.uchanganye na conditioner angalau mara moja kwa wiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nahitaji mafuta ya nywele hasa zilizowekewa dawa. Mafuta gani ni mazuri?
A Song for Mama.
Thanks bro [emoji1545][emoji1545]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Katengeneza cha kwake...Atakua kakitupa kabisa
Among of my list
Ngosha huwa anatufurahishaga sana,Jamaniii [emoji16][emoji16][emoji16]
Hana shida yeyote wala, basi tu wadau waliamua walichoamuaHuyu bro mbona yuko powa tu? Internet bullies/trolls hawafai !!!
Bakia hapa hapa hakuna cha kuzima data wala nini. Huyo wa Sapiwi yeye hayumo humu JF au ushamba bado umemkalia kooni? Mlete huku kwenye uzi wetu...[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
#YakinizidiNazimaData[emoji38]
Kama utakua na muda jitahidi isikupiteASANTE
Mlete kwenye uzi akutane na big bro Ngosha The Don...Ngosha huwa anatufurahishaga sana,
Hapa nilipo sijui kama wataonyesha. Kama kuna link ya online itapendeza zaidi !!!Kama utakua na muda jitahidi isikupite
[emoji847]You are the best either happy
Nilikuwa nasubirisha angalau mmoja wa Kongo au wa kwetu lakini nimeambulia patupu....[emoji847]
List yako imetulia, inasadifu jina lako la "Kijana mpole"