Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].Bakia hapa hapa hakuna cha kuzima data wala nini. Huyo wa Sapiwi yeye hayumo humu JF au ushamba bado umemkalia kooni? Mlete huku kwenye uzi wetu...
Aiseeee...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Ngosha bado saana yule kuja Jf, anasema sisi tunapotoshana huku.
Anamkubali sana huyu jamaa wa sasa a.k.a Mwanaharakati huru[emoji23][emoji23]
[emoji317][emoji317]Nilikuwa nasubirisha angalau mmoja wa Kongo au wa kwetu lakini nimeambulia patupu....
[emoji847]
List yako imetulia, inasadifu jina lako la "Kijana mpole"
Nilikuwa nasubirisha angalau mmoja wa Kongo au wa kwetu lakini nimeambulia patupu....