Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bakia hapa hapa hakuna cha kuzima data wala nini. Huyo wa Sapiwi yeye hayumo humu JF au ushamba bado umemkalia kooni? Mlete huku kwenye uzi wetu...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].


Ngosha bado saana yule kuja Jf, anasema sisi tunapotoshana huku.


Anamkubali sana huyu jamaa wa sasa a.k.a Mwanaharakati huru[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…