The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
AlgeriaSemeni basi. Nani kashinda?
Angepotea...ingawa kwa sasa amekua hakimbii zali kama zamani.Yaani ila bora kashinda angekosa raha wiki nzima hahaha
Wamefungwa
Na asingekuja humu mpaka papoeYaani ila bora kashinda angekosa raha wiki nzima hahaha
😂😂😂😂😂 kwakweli binti mpole unanijua sana sio siriYaani ila bora kashinda angekosa raha wiki nzima hahaha
Vibaya mnoSadio amegaragazwa?
Am Glad sikubisha leo,Ai toldi yu [emoji3][emoji3]
Amna ningekuja tu maana sikua na mpinzani humu watu walificha mapenzi yaoNa asingekuja humu mpaka papoe
Wapenzi wa mpira tunajuana vizuri tu. Mpira ni burudani ila kuna wakati ni mateso😂😂😂😂😂 kwakweli binti mpole unanijua sana sio siri
Anakujua eeeh!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli binti mpole unanijua sana sio siri
Hahahaha umeona kisha sababu atasema ubusyNa asingekuja humu mpaka papoe