Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aiseee. Ndiyo maana watu hung'ang'aniamo na hata kujaribu kumshawishi mtu wao abadili katiba ili aendelee kubakia madarakani nao waendelee kufaudu. Mwalimu Nyerere aliwahi kulizungumzia hili.
swadakta, inapotokezea madaraka yakarithiwa na mwanadamu asiyeangalia sura ya mtu basi wanakuwa wanyonge sana, muda mchache baadae unasikia kiongozi fulani ni mgonjwa kumbe stress za kukosa cheo ndio zinamaliza uhai wake.

ujinga wa kubebana huku kwetu upo sanaaaa kuanzia chama tawala hadi chama pinzani kabla ya ACT
 
Kuna maeneo ni upweke sana kigamboni sio kama kwetu Uswahilini Mbagara nyumba zimebanana mno.
Apumzike mahali anapostahili.
Tulio baki tujifunze kuheshimiana na kuvumiliana.
Niseme tu kwa sisi (nyie) wanaume (wanawake) wakimya maamuzi yetu(yenu) ni mabaya zaidi ya matendo ya mwanamke(mwanaume) malaya. Hivi vifo havitakoma kama wanandoa (wachumba) hawataaminiana na kuthaminiana...
 
Aiseee. Ndiyo maana watu hung'ang'aniamo na hata kujaribu kumshawishi mtu wao abadili katiba ili aendelee kubakia madarakani nao waendelee kufaudu. Mwalimu Nyerere aliwahi kulizungumzia hili.
Huu uzi kuna muda siulewi kabisa.Yaani kuna watu humu hata kuwasogelea ile ya laivu laivu hatuwezi ila humu wamejishusha hadi tunawatania hata akina sisi!!!
Naamini mbinguni nitaingia,hata kwa kigezo cha "likes" au kwa kutumia vigezo vya uzi huu... "Upendo na amani"

Acha niringe hata kabla iziraeli hajakamu
tapatalk_1562690101964.gif
 
Kijana mpole anauliza utafikiri hajui mambo ya humu. Utafikiri hakuwepo wakati wa mnyukano wa akina Rutta na malkia...mchakamchaka wa namba na mengineyo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu uzi kuna muda siulewi kabisa.Yaani kuna watu humu hata kuwasogelea ile ya laivu laivu hatuwezi ila humu wamejishusha hadi tunawatania hata akina sisi!!!
Naamini mbinguni nitaingia,hata kwa kigezo cha "likes" au kwa kutumia vigezo vya uzi huu... "Upendo na amani"

Acha niringe hata kabla iziraeli hajakamu View attachment 1157717
😂😂😂
 
Ushapata kimpumu leo si mchezo! [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom