myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku was kupeana
Duh!Ukaguzi wa ujenzi View attachment 1157638
Duh!!Wimeni pawaaaa !!!
View attachment 1157586
Hahah! Mpaka wananikera sasaHalafu wanajua kulalamikaa,[emoji19]
Bora na wewe umeona,Hahah! Mpaka wananikera sasa
Ukute nae marehemu alikuwa na kibri kwa mume na dharau(sura nzuri +ghorofa) kwa majirani zake.
Tunywe soda kwanza sasa 😂Bora na wewe umeona,
bado sauti yake naendelea kuisikia kupitia masikio yangu dhaifu.Mkorea wa Zenj. Unasalimiwa na komando Jecha
Hamna namnaTunywe soda kwanza sasa [emoji23]
Kuna maeneo ni upweke sana kigamboni sio kama kwetu Uswahilini Mbagara nyumba zimebanana mno.Ukute nae marehemu alikuwa na kibri kwa mume na dharau(sura nzuri +ghorofa) kwa majirani zake.
Hata kama umefanikiwa kimaisha lazima ujichanganye na majirani. Kitaani kwetu tunasema "kulipia mtaa kwa vijana" yaani baba mzima unajichanganya na vijana unapiga nao gambe, muda si muda wanaanza kupigana mkwara wenyewe kwa wenyewe "mtu asing'oe saiti mila wala fagio la bi mkubwa lisipotee hapa maskani... Abdul umeelewa?"
Laiti angekuwa anaishi nao vizuri, kabla moshi hauja panda kwa Mungu, masela wangekuwa wamemwagika na ndoo za maji....
Mi najua basi bro?Sasa hapo thug life iko wapi Bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaoa dadangu huyo anakusanifu tu...Usiwe na shaka...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ankoo unanitafutia iginolist ya weekend naona[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo hawa wanaouliwa kila siku...
Aiseee. Ndiyo maana watu hung'ang'aniamo na hata kujaribu kumshawishi mtu wao abadili katiba ili aendelee kubakia madarakani nao waendelee kufaudu. Mwalimu Nyerere aliwahi kulizungumzia hili.bado sauti yake naendelea kuisikia kupitia masikio yangu dhaifu.
nimeamua kufuta uchaguzi kwa sababu tumegundua baadhi ya vituo hususani pemba kulifanyika udanganyifu, vile vile mgombea mmoja wa uraisi amejitangazia matokeo hivyo basi kwa mamlaka niliopewa natangaza marejeo ya uchaguzi yatafanyika machi 20.
kabla sauti ya jecha haijanguruma CCM walikuwa kimyaaaaaaaaa kama maji ya mtungini
babu shimba asikwambie mjinga yeyote hakuna utamu kama wa madaraka ya kulevya, mwanasiasa kukosa madaraka ni sawa na aliyefariki.
unabaki unajiwazia: akiingia madarakani mpinzani ile chain yangu ninayoitegemea kuwapa ajira jamaa zangu itazikwa rasmi.
ile chain yangu ninayoitumia kuwadhulumu wanakijiji ardhi zao ili nijenge hoteli za kifahari na majumba ya kuwahifadhia ndugu zetu kutoka BARA itazikwa rasmi.
ile chain yangu ninayoitumia kwa ajili ya kufanya biashara za magendo, biashara bila ya kodi zitazikwa rasmi.