Huku kwema kabisa. Karibu nitakuacha hapa peke yako. Naona Prisca naye aliamka kidogo akashtua kidogo karudi zake kulalaKwema, majukumu yalichukua nafasi kamanda, habari za jioni huko uliko
Huku kwema kabisa. Karibu nitakuacha hapa peke yako. Naona Prisca naye aliamka kidogo akashtua kidogo karudi zake kulala
Labda ni yale mambo ya kwenda msalani na simu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Nilishangaa bint mpole mida hii siyo yake