mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
.
Ila mara moja moja kwa mtu mliyeshibana siyo mbaya...kuna raha yake hasa kama unajua ukifanyacho na yeye anajua anachotakiwa kufanyiwa [emoji16][emoji16]Waache waendelee kujitoa ufahamu! [emoji16][emoji16]
Ila mara moja moja kwa mtu mliyeshibana siyo mbaya...kuna raha yake hasa kama unajua ukifanyacho na yeye anajua anachotakiwa kufanyiwa [emoji16][emoji16]
Wadau notification sioni
Japo napenda sana masumbwi lakini siungi mkono mtu kuendelea kupigana akishavuka miaka 40. Matokeo yake mara nyingi ni kuvurugwa ubongo na kuishia kuwa kama akina Ali na mabondia wengine ambao hata kuongea sawa sawa hawawezi. Huyu Thurman ni bondia hatari na watu wengi hawaelewi kwa nini Pacman ameamua kuchukua hili pambano.Cc SHIMBA YA BUYENZEView attachment 1158546
Hata mimi. Zinakuja halafu zinakata utadhani goli dhidi ya demu ambaye humfeel kabisa [emoji16][emoji16]Wadau notification sioni
Ushauri mzuri sanaJapo napenda sana masumbwi lakini siungi mkono mtu kuendelea kupigana akishavuka miaka 40. Matokeo yake mara nyingi ni kuvurugwa ubongo na kuishia kuwa kama akina Ali na mabondia wengine ambao hata kuongea sawa sawa hawawezi. Huyu Thurman ni bondia hatari na watu wengi hawaelewi kwa nini Pacman ameamua kuchukua hili pambano.
Pacman has nothing to prove. Pesa anazo. Ni mbunge na legend huko kwao. Inabidi astaafu mara moja vinginevyo anakoelekea siyo kuzuri !!!
Hahahahaha