Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Japo napenda sana masumbwi lakini siungi mkono mtu kuendelea kupigana akishavuka miaka 40. Matokeo yake mara nyingi ni kuvurugwa ubongo na kuishia kuwa kama akina Ali na mabondia wengine ambao hata kuongea sawa sawa hawawezi. Huyu Thurman ni bondia hatari na watu wengi hawaelewi kwa nini Pacman ameamua kuchukua hili pambano.

Pacman has nothing to prove. Pesa anazo. Ni mbunge na legend huko kwao. Inabidi astaafu mara moja vinginevyo anakoelekea siyo kuzuri !!!
 
Ushauri mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…